Show simple item record

dc.contributor.authorCHIMERAH, ABDALLAH MZUNGU
dc.date.accessioned2023-08-01T08:55:44Z
dc.date.available2023-08-01T08:55:44Z
dc.date.issued2021-03-01
dc.identifier.otherUDHANAISHI KATIKA RIWAYA ZA THOMAS KAMUGISHA: KITU KIDOGO TU! NA HARUSI YA WENDAWAZIMU
dc.identifier.otherABDALLAH MZUNGU CHIMERAH
dc.identifier.urihttp://elibrary.pu.ac.ke/handle/123456789/1072
dc.descriptionUtafiti huu ulichunguza udhanaishi katika matendo na maneno ya wahusika katika riwaya mbili za Thomas A. R. Kamugisha; Kitu Kidogo Tu! na Harusi ya Wendawazimu. Hivyo, madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza matendo na maneno ya wahusika ili kudhihirisha vipengele vya kidhanaishi vinavyojitokeza. Utafiti huu umegawanywa katika sura tano; ya kwanza ni utangulizi yenye usuli wa mada, swala la utafiti, malengo ya utafiti, natija ya utafiti, upeo na mipaka ya utafiti na ufafanuzi wa istilahi na vifupisho. Sura ya pili imeeleza tafiti mbalimbali tangulizi za kuhusu udhanaishi na pia nadharia ya udhanaishi imefafanuliwa. Sura ya tatu imeeleza utaratibu wa utafiti, mbinu na vifaa vilivyotumiwa kukusanyia data na jinsi data hiyo ilivyochanganuliwa. Katika sura ya nne data iliyokusanywa imechanganuliwa. Sura ya tano imebeba muhtasari wa utafiti, hitimisho, mapendekezo kwa watafiti wengine na marejeleo. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni ya udhanaishi inayohusishwa na wanafalsafa kama Soren Kierkegaard (1813-1855), Jean Paul Sartre (1905-1980), Friedrich Nietzsche (1844-1900). Udhanaishi ni falsafa inayoshugulikia maswala kuhusu maisha; ni mtazamo unaokagua kwa upembuzi hali ya nafasi ya mtu katika ulimwengu anamoishi. Mtafiti amegundua kuwa riwaya hizi mbili za Kamugisha ni za kidhanaishi kutokana na matendo na kauli za wahusika wake. Vipengele vya kidhanaishi kama utamaushi, ukengeushi, swala la uwepo wa Mungu, uhuru wa mtu binafsi na kuabudu mahitaji ya kimwili vimejitokeza. Data ilichanganuliwa kwa njia ya kithamano na matokeo kuwasilishwa kwa maelezo ya kinathari. Utafiti ulikuwa wa maktabani.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulichunguza udhanaishi katika matendo na maneno ya wahusika katika riwaya mbili za Thomas A. R. Kamugisha; Kitu Kidogo Tu! na Harusi ya Wendawazimu. Hivyo, madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza matendo na maneno ya wahusika ili kudhihirisha vipengele vya kidhanaishi vinavyojitokeza. Utafiti huu umegawanywa katika sura tano; ya kwanza ni utangulizi yenye usuli wa mada, swala la utafiti, malengo ya utafiti, natija ya utafiti, upeo na mipaka ya utafiti na ufafanuzi wa istilahi na vifupisho. Sura ya pili imeeleza tafiti mbalimbali tangulizi za kuhusu udhanaishi na pia nadharia ya udhanaishi imefafanuliwa. Sura ya tatu imeeleza utaratibu wa utafiti, mbinu na vifaa vilivyotumiwa kukusanyia data na jinsi data hiyo ilivyochanganuliwa. Katika sura ya nne data iliyokusanywa imechanganuliwa. Sura ya tano imebeba muhtasari wa utafiti, hitimisho, mapendekezo kwa watafiti wengine na marejeleo. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni ya udhanaishi inayohusishwa na wanafalsafa kama Soren Kierkegaard (1813-1855), Jean Paul Sartre (1905-1980), Friedrich Nietzsche (1844-1900). Udhanaishi ni falsafa inayoshugulikia maswala kuhusu maisha; ni mtazamo unaokagua kwa upembuzi hali ya nafasi ya mtu katika ulimwengu anamoishi. Mtafiti amegundua kuwa riwaya hizi mbili za Kamugisha ni za kidhanaishi kutokana na matendo na kauli za wahusika wake. Vipengele vya kidhanaishi kama utamaushi, ukengeushi, swala la uwepo wa Mungu, uhuru wa mtu binafsi na kuabudu mahitaji ya kimwili vimejitokeza. Data ilichanganuliwa kwa njia ya kithamano na matokeo kuwasilishwa kwa maelezo ya kinathari. Utafiti ulikuwa wa maktabani.en_US
dc.description.sponsorshipPwani Universityen_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherABDALLAH MZUNGU CHIMERAHen_US
dc.subjectUDHANAISHIen_US
dc.subjectRIWAYA ZA THOMASen_US
dc.subjectHARUSI YA WENDAWAZIMUen_US
dc.titleUDHANAISHI KATIKA RIWAYA ZA THOMAS KAMUGISHA: KITU KIDOGO TU! NA HARUSI YA WENDAWAZIMUen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record