Browsing Electronic Theses and Dissertations by Title
Now showing items 294-313 of 323
-
UATHIRIANOMATINI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MFANO WA UTENZI WA HATI NA UTENZI WA MWANAKUPONA
(Pwani University, 2022-07-13)Wataalamu wengi waliohakiki Utenzi wa Hati (1966) na Utenzi wa Mwanakupona (1860) wamedai kwamba UH umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na Utenzi wa Mwanakupona (1860) katika fasihi ya Kiswahili bila kutoa ushahidi wa kina ... -
UBADILISHAJI WA IRABU CHANGAMANO KATIKA SILABI ZA LUISUKHA
(Pwani University, 2024-10-21)Huu ni utafiti uliohusu uchanganuzi wa irabu changamano katika lahaja ya Luisukha.Uchanganuzi wa irabu una maana ya silabi zenye muundo wa irabu mbili.Matamshi ya maneno katika lugha hudhihirisha muundo wa neno hilo ambao ... -
UCHANGANUZI WA ATHARI ZA KIMOFOFONOLOJIA MIONGONI MWA WANAFUNZI WA KISOMALI WANAPOJIFUNZA LUGHA YA KISWAHILI
(Pwani University, 2019-07-28)Utafiti huu ulishughulikia makosa ya kimofofonolojia miongoni mwa wanafunzi wa Kisomali wanapojifunza Kiswahili sanifu kama lugha yao ya pili. Utafiti huu ulifanywa katika shule za upili za umma katika kaunti–ndogo ya ... -
UCHANGANUZI WA KIMOFOFONOLOJIA WA MANENO-MKOPO YA KIMBEERE KUTOKA LUGHA YA KISWAHILI
(Kithaka wangari, 2023-12)Utafiti huu umechanganua kimofofonolojia maneno-mkopo ya lugha ya Kimbeere kutoka lugha ya Kiswahili ili kutambua nomino- mkopo na vitenzi- mkopo vya asili ya Kiswahili katika lugha ya Kimbeere. Malengo ya utafiti huu ... -
UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KIMOFOFONOLOJIA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WENYE ASILI YA LUGHA YA KIKAMBA
(Pwani University, 2020-05-04)Utafiti huu umechanganua makosa ya kimofofonolojia yanayofanywa na wanafunzi wa shule za upili ambao ni wazungumzaji wa lugha ya Kikamba wanapojifunza lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili. Utafiti huu ulinuia kutambua ... -
UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KIMOFOFONOLOJIA YA WANAFUNZI WA KIWAAṰA WANAPOJIFUNZA LUGHA YA KISWAHILI
(Pwani University, 2022-03-14)Utafiti huu ulihusu uchanganuzi wa makosa ya kimofofonolojia ya wanafunzi wa Kiwaaṱa wanapojifunza Kiswahili kama lugha ya pili. Hivyo basi utafiti huu ulilenga kueleza Fonolojia ya lugha ya Kiwaaṱa kwa kufafanua sifa ... -
UCHANGANUZI WA MAUDHUI YA NYIMBO ZA MSONDO NA ATHARI ZAKE KWA WANANDOA KATIKA JAMII YA WADIGO
(Pwani Unversity, 2018-05-15)Nyimbo za msondo za jamii ya Wadigo ni aina za nyimbo ambazo huimbwa wakati wa harusi upande wa kwa bi. harusi na huwa tofauti kabisa na nyimbo za harusi za kawaida. Utafiti huu ulinuia kuchanganua maudhui ya nyimbo za ... -
UCHANGANUZI WA MAUDHUI YA SIASA KATIKA HADITHI MBILI, KIKAZA YA ROBERT ODUORI NA UTEUZI WA MOYONI YA RAYYA TIMAMMY
(Pwani University, 2018-10)Utafiti huu umeshughulikia uchanganuzi wa maudhui ya siasa jinsi yanavyodhihirika katika hadithi iliyotungwa na Oduori, Kikaza na hadithi iliyotungwa na Timammy, Uteuzi wa Moyoni. Mbali na kuchanganua maudhui, utafiti huu ... -
UCHANGANUZI WA MIUNDO YA VISHAZI KATIKA SENTENSI ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI
(Pwani Unversity, 2015-08-12)Kishazi ni kundi la maneno lenye uhusiano wa kiima- kiarifu hasa likiwa ndani ya sentensi kuu. Kikundi cha maneno hicho kinaundwa kwa elementi kadhaa, miongoni mwa elementi zake hizo lazima kiwemo kirai kitenzi. Kirai ... -
UCHANGANUZI WA NOMINO-MKOPO ZA KIGIRYAMA KUTOKA KIINGEREZA
(Pwani Unversity, 2015-06-05)Utafiti huu umechanganua kimofofonolojia nomino-mkopo za lugha ya Kigiryama zinazotokana na lugha ya Kiingereza na kubainisha kanuni zinazoongoza michakato mahsusi. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambulisha nomino-mkopo ... -
UCHANGANUZI WA TONOLOJIA YA KICHONYI KWA MKABALA WA NADHARIA YA FONOLOJIA VIPANDESAUTI HURU
(Pwani University, 2022-09-15)Toni katika lugha toni hudhihirika wakati wa uzungumzaji na hufanya neno kuwa na maana zaidi ya moja. Neno lenye toni linapotumika katika sentensi, mabadiliko ya toni huweza kuleta tofauti ya maana katika sentensi mahususi. ... -
UCHUNGUZI WA JINSI KUCHANGANYA NDIMI KATIKA MATUMIZI YA LUGHA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA KUNAVYOATHIRI MAENDELEO YA KISWAHILI SANIFU KATIKA CHUO KIKUU CHA PWANI
(Pwani University, 2022-03-03)Utafiti huu ulilenga kuchunguza jinsi kuchanganya ndimi kunavyoathiri maendeleo ya lugha ya Kiswahili sanifu kutokana na maneno ya Kiingereza yanayochopekwa katika lugha ya Kiswahili wakati wa mawasiliano. Kuchanganya ndimi ... -
UDHANAISHI KATIKA RIWAYA ZA THOMAS KAMUGISHA: KITU KIDOGO TU! NA HARUSI YA WENDAWAZIMU
(ABDALLAH MZUNGU CHIMERAH, 2021-03-01)Utafiti huu ulichunguza udhanaishi katika matendo na maneno ya wahusika katika riwaya mbili za Thomas A. R. Kamugisha; Kitu Kidogo Tu! na Harusi ya Wendawazimu. Hivyo, madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza matendo ... -
UHAKIKI WA MAUDHUI NA FANI KATIKA UTENZI WA MWANAMANGA UTUNZI WAKE FUMO LIYONGO
(Pwani University, 2018-10-01)IKISIRI Utafiti huu ulihusu uchunguzi wa maudhui na fani katika Utenzi wa Mwanamanga. Utafiti huu ulilenga kuchunguza maudhui na vipengee vya fani vilivyodhihirika katika utenzi huo. Utafiti huu vilevile ulilenga kubainisha ... -
UKOPAJI WA MANENO YA KISWAHILI SANIFU KATIKA LUGHA YA KIGIRIAMA: MICHAKATO NA SHERIA ZA KIFONOLOJIA.
(Pwani Unversity, 2017-05-15)Lugha ya Kiswahili na Kigiriama zimekuwa na mgusano wa muda mrefu kwani jamii hizi mbili zimekuwa majirani hasa katika mwambao wa pwani ya Kenya (Guthrie 1971). Utafiti huu umechunguza ukopaji wa maneno ya lugha ya ... -
UNDERSTANDING THE SOURCES OF INTRODUCTIONS AND GENETIC DIVERSITY OF ROTAVIRUS A STRAINS THROUGH WHOLE GENOME ANALYSIS OF ROTAVIRUS G8P[4] AND G9P[8] STRAINS DETECTED IN KILIFI KENYA, 2010 - 2019
(Pwani University, 2021-10-08)Background: Rotavirus Group A (RVA) is the primary cause of severe dehydrating diarrhoea in young children. Notwithstanding the introduction of the RVA vaccination in several countries, RVA continues to be a major cause ... -
UNRAVELING THE GENETIC BASIS AND ADAPTIVE SIGNIFICANCE OF ISOENZYME POLYMORPHISM IN TRYPANOSOMA VIVAX: A COMPARATIVE SEQUENCE ANALYSIS APPROACH
(PWANI UNIVERSITY, 2023-06-24)Trypanosoma vivax is a hemoprotozoan cattle pathogen that affects the livelihood of many herders. It shows variation between strains in East and West Africa, which was observed by analyzing various isoenzymes in 13 ... -
UPTAKE OF CERVICAL CANCER SCREENING AMONG WOMEN AGED18-49 YEARS IN MALINDI SUB COUNTY HOSPITAL
(Pwani Unversity, 2015-11-08)Cervical cancer is the third most common cancer among women worldwide with an estimated annual incidence of 0.5 million cases and 300,000 deaths. More than 85% of new cases and deaths occur in developing countries. In ... -
URBAN ECOLOGY OF CULEX QUINQUEFASCIATUS AND AEDES AEGYPTI MOSQUITOES AND TRANSMISSION DYNAMICS OF ARBOVIRUSES IN COASTAL KENYA
(Pwani University, 2018-08)round: The emergence and re-emergence of arboviral infections in humans around the world threatens global health and security. Although there are several arthropod borne viruses, the most prevalent and pose great risk are ... -
USAWIRI WA MWANAMUME KATIKA METHALI ZA KIMERU NCHINI KENYA
(Pwani University, 2016-08)Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa usawiri wa mwanamume katika methali za Kimeru. Imebainika kuwa usawiri wa mwanamume katika methali za Kimeru haujawekwa bayana na utafiti wowote. Utafiti huu umebainisha jinsi ...