Now showing items 1-1 of 1

    • UCHANGANUZI WA NOMINO-MKOPO ZA KIGIRYAMA KUTOKA KIINGEREZA 

      NGOWA, NANCY JUMWA (Pwani Unversity, 2015-06-05)
      Utafiti huu umechanganua kimofofonolojia nomino-mkopo za lugha ya Kigiryama zinazotokana na lugha ya Kiingereza na kubainisha kanuni zinazoongoza michakato mahsusi. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambulisha nomino-mkopo ...