Search
Now showing items 1-2 of 2
UTENZI WA AL-INKISHAFI: DHIHIRISHO LA UHALISIAJABU KATIKA KUENDELEZA MAUDHUI YA DINI YA KIISLAMU
(Pwani University, 2018-05)
Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa kihalisiajabu kuendeleza maudhui ya dini katika Utenzi wa Al-Inkishafi wa Sayyid Abdallah bin Ali bin Nassir, mshairi mtajika aliyeishi katika kisiwa cha Pate baina ya 1718-1815 (Chiraghdin, ...
UATHIRIANOMATINI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MFANO WA UTENZI WA HATI NA UTENZI WA MWANAKUPONA
(Pwani University, 2022-07-13)
Wataalamu wengi waliohakiki Utenzi wa Hati (1966) na Utenzi wa Mwanakupona (1860) wamedai kwamba UH umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na Utenzi wa Mwanakupona (1860) katika fasihi ya Kiswahili bila kutoa ushahidi wa kina ...