Department of Linguistics, Languages and Literature
Browse by
Recent Submissions
-
UCHANGANUZI WA ATHARI ZA KIMOFOFONOLOJIA MIONGONI MWA WANAFUNZI WA KISOMALI WANAPOJIFUNZA LUGHA YA KISWAHILI
(Pwani University, 2019-07-28)Utafiti huu ulishughulikia makosa ya kimofofonolojia miongoni mwa wanafunzi wa Kisomali wanapojifunza Kiswahili sanifu kama lugha yao ya pili. Utafiti huu ulifanywa katika shule za upili za umma katika kaunti–ndogo ya ... -
UCHANGANUZI WA MAUDHUI YA NYIMBO ZA MSONDO NA ATHARI ZAKE KWA WANANDOA KATIKA JAMII YA WADIGO
(Pwani Unversity, 2018-05-15)Nyimbo za msondo za jamii ya Wadigo ni aina za nyimbo ambazo huimbwa wakati wa harusi upande wa kwa bi. harusi na huwa tofauti kabisa na nyimbo za harusi za kawaida. Utafiti huu ulinuia kuchanganua maudhui ya nyimbo za ... -
MAANA TIMILIFU KUTOKANA NA UNDIMI KATIKA UTENZI WA SIRI LI ASRARI
(Pwani Unversity, 2018-01-12)Utenzi wa Siri li Asrari ulitungwa katika karne ya 17 na mpaka sasa haujashughulikiwa ipasavyo. Ni utenzi unaozungumzia, kiubunifu, mojawapo ya vita vya Mtume Muhammad alivyopigana na wasioamini Uislamu. Mbali na hayo, ni ... -
USAWIRI WA MWANAMUME KATIKA METHALI ZA KIMERU NCHINI KENYA
(Pwani University, 2016-08)Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa usawiri wa mwanamume katika methali za Kimeru. Imebainika kuwa usawiri wa mwanamume katika methali za Kimeru haujawekwa bayana na utafiti wowote. Utafiti huu umebainisha jinsi ... -
MITAZAMO YA WAANDISHI WA KIKE NA WA KIUME KUHUSU USAWIRI WA WAHUSIKA WA KIKE KATIKA TAMTHILIA ZA KISWAHILI
(Pwani University, 2017-05)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza mitazamo ya waandishi wa kike na wa kiume kuhusu usawiri wa wahusika wa kike katika tamthilia za Kiswahili. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, ni kutambulisha ... -
UCHANGANUZI WA MIUNDO YA VISHAZI KATIKA SENTENSI ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI
(Pwani Unversity, 2015-08-12)Kishazi ni kundi la maneno lenye uhusiano wa kiima- kiarifu hasa likiwa ndani ya sentensi kuu. Kikundi cha maneno hicho kinaundwa kwa elementi kadhaa, miongoni mwa elementi zake hizo lazima kiwemo kirai kitenzi. Kirai ... -
ATHARI ZA USASA KWENYE USIMULIZI WA HADITHI KATIKA JAMII YA WAMASAABA NCHINI UGANDA
(Pwani University, 2018-04)Kazi hii inahusu athari za usasa katika usimulizi wa hadithi miongoni mwa Wamasaaba nchini Uganda. Swala la utafiti ni kuwa mchango wa usasa katika usimulizi wa hadithi umezua maoni mbalimbali kutoka kwa wasomi tofautitofauti ... -
UCHANGANUZI WA MAUDHUI YA SIASA KATIKA HADITHI MBILI, KIKAZA YA ROBERT ODUORI NA UTEUZI WA MOYONI YA RAYYA TIMAMMY
(Pwani University, 2018-10)Utafiti huu umeshughulikia uchanganuzi wa maudhui ya siasa jinsi yanavyodhihirika katika hadithi iliyotungwa na Oduori, Kikaza na hadithi iliyotungwa na Timammy, Uteuzi wa Moyoni. Mbali na kuchanganua maudhui, utafiti huu ... -
UTENZI WA AL-INKISHAFI: DHIHIRISHO LA UHALISIAJABU KATIKA KUENDELEZA MAUDHUI YA DINI YA KIISLAMU
(Pwani University, 2018-05)Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa kihalisiajabu kuendeleza maudhui ya dini katika Utenzi wa Al-Inkishafi wa Sayyid Abdallah bin Ali bin Nassir, mshairi mtajika aliyeishi katika kisiwa cha Pate baina ya 1718-1815 (Chiraghdin, ... -
UHAKIKI WA MAUDHUI NA FANI KATIKA UTENZI WA MWANAMANGA UTUNZI WAKE FUMO LIYONGO
(Pwani University, 2018-05)IKISIRI Utafiti huu ulihusu uchunguzi wa maudhui na fani katika Utenzi wa Mwanamanga. Utafiti huu ulilenga kuchunguza maudhui na vipengee vya fani vilivyodhihirika katika utenzi huo. Utafiti huu vilevile ulilenga kubainisha ... -
NJEO, HALI NA DHAMIRA KATIKA KITENZI CHA KITIKUU: MTAZAMO WA UMINIMALISTI
(Pwani University, 2017-07)Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa kiufafanuzi wa kimofosintaksia wa njeo, hali na dhamira katika kitenzi cha Kitikuu. Njeo, hali na dhamira ni kategoria za kisarufi zinazopatikana katika kitenzi. Kitikuu ni lahaja ...