KARAMA, MOHAMED RAMADHAN (Pwani Unversity, 2018-08-01)
Utenzi wa Siri li Asrari ulitungwa katika karne ya 17 na mpaka sasa haujashughulikiwa ipasavyo. Ni utenzi unaozungumzia, kiubunifu, mojawapo ya vita vya Mtume Muhammad alivyopigana na wasioamini Uislamu. Mbali na hayo, ni ...