Khamis, Amina Ali (Pwani Unversity, 2015-08-12)
Kishazi ni kundi la maneno lenye uhusiano wa kiima- kiarifu hasa likiwa ndani ya sentensi kuu. Kikundi cha maneno hicho kinaundwa kwa elementi kadhaa, miongoni mwa elementi zake hizo lazima kiwemo kirai kitenzi. Kirai ...