NYUNDO, EMMANUEL KAINGU (Pwani University, 2023-10-11)
Utafiti huu ulihusu mofosintaksia ya vitenzi visababishi na ulichanganua jinsi mofimu mbali mbali zinavyoweza kugeuka katika uundaji wa vitenzi visababishi katika lugha ya Kigiryama. Hivyo basi, utafiti huu ulieleza ...