Browsing Department of Linguistics, Languages and Literature by Issue Date
Now showing items 1-6 of 6
-
UCHANGANUZI WA NOMINO-MKOPO ZA KIGIRYAMA KUTOKA KIINGEREZA
(Pwani Unversity, 2015-06-05)Utafiti huu umechanganua kimofofonolojia nomino-mkopo za lugha ya Kigiryama zinazotokana na lugha ya Kiingereza na kubainisha kanuni zinazoongoza michakato mahsusi. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambulisha nomino-mkopo ... -
UKOPAJI WA MANENO YA KISWAHILI SANIFU KATIKA LUGHA YA KIGIRIAMA: MICHAKATO NA SHERIA ZA KIFONOLOJIA.
(Pwani Unversity, 2017-05-15)Lugha ya Kiswahili na Kigiriama zimekuwa na mgusano wa muda mrefu kwani jamii hizi mbili zimekuwa majirani hasa katika mwambao wa pwani ya Kenya (Guthrie 1971). Utafiti huu umechunguza ukopaji wa maneno ya lugha ya ... -
MOFOLOJIA YA VITENZI VYA KINYANKORE
(Pwani University, 2017-05-27)Uchunguzi huu ulishughulikia mada ya “Mofolojia ya vitenzi vya lugha ya Kinyankore”. Kulikuwa tafiti chache sana ambazo zilikuwa zimefanywa juu ya lugha ya Kinyankore, hasa katika uwanja wa Mofolojia. Tena watu wengi ... -
SENSE RELATIONS AND LEXICAL PRAGMATIC PROCESSES IN LINGUISTIC SEMANTICS: A DESCRIPTION OF THE KIGIRYAMA SYSTEM OF MEANING
(Pwani Unversity, 2017-07-10)Language carries the culture of the people. Knowing the correct meaning of each word in every context enables one to be integrated successfully into that community something which contributes to harmony and understanding. ... -
LUWANGA MORPHOPHONEMICS: AN OPTIMALITY THEORETIC ACCOUNT
(Pwani University, 2019-10-12)Proto-Bantu language reconstruction has a relatively simple phoneme inventory of eleven consonants and seven vowels. Most Bantu languages of present day are characterized by a high number of phonemes. The verbal morphology ... -
CREATIVE WRITING WITHIN THE GENRE OF THE SHORT STORY: INVESTIGATING THE PERSUASIVE POTENTIAL OF RHETORIC WITHIN THE CONFINES OF PATHETIC APPEAL
(Pwani University, 2021-04-23)What distinguishes the human being from other living animals is the singular ability to write. Recording on paper some of the myriad idiosyncrasies that govern our lives calls for a certain linguistic dexterity; one that ...