Show simple item record

dc.contributor.authorKATULU, KALUNGU VICTORIA
dc.date.accessioned2021-06-22T13:22:04Z
dc.date.available2021-06-22T13:22:04Z
dc.date.issued2020-05-04
dc.identifier.otherUCHANGANUZI WA MAKOSA YA KIMOFOFONOLOJIA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WENYE ASILI YA LUGHA YA KIKAMBA
dc.identifier.otherKALUNGU VICTORIA KATULU
dc.identifier.urihttp://elibrary.pu.ac.ke/handle/123456789/875
dc.descriptionUtafiti huu umechanganua makosa ya kimofofonolojia yanayofanywa na wanafunzi wa shule za upili ambao ni wazungumzaji wa lugha ya Kikamba wanapojifunza lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili. Utafiti huu ulinuia kutambua makosa, kupata vyanzo vya makosa hayo na kupendekeza njia za kuyatatua. Utafitiuliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Makosa kama ilivyoasisiwa na Corder (1960). Uchanganuzi Makosa ni mtazamo ambao hutumiwa kueleza makosa yanayopatikana katika kazi za wanafunzi kwa kutambua makosa, kuyaainisha, kuonyesha visababisho vya makosapamoja na kupendekeza njia za kukabiliana nayo. Data ilikusanywa kutoka kaunti ya Makueni wilaya ya Nzaui. Aidha utafiti ulihusisha shule nne kutoka wilaya ya Nzaui kaunti ya Makueni. Sampuli ya utafiti ilihusisha wanafunzi wa kidato cha pili na cha tatu waliochaguliwa kushiriki katika utafiti. Data ilichanganuliwa kwa kutumia nadharia ya uchanganuzi makosa ya Corder (1960). Matokeo ya utafiti huuni kuwepo kwa makosa ya kimofofonolojia ya uchopekaji, udondoshaji na matumizi ya sauti mbadala miongoni mwa wanafunzi wakamba wanaojifunza lugha ya Kiswahili.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umechanganua makosa ya kimofofonolojia yanayofanywa na wanafunzi wa shule za upili ambao ni wazungumzaji wa lugha ya Kikamba wanapojifunza lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili. Utafiti huu ulinuia kutambua makosa, kupata vyanzo vya makosa hayo na kupendekeza njia za kuyatatua. Utafitiuliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Makosa kama ilivyoasisiwa na Corder (1960). Uchanganuzi Makosa ni mtazamo ambao hutumiwa kueleza makosa yanayopatikana katika kazi za wanafunzi kwa kutambua makosa, kuyaainisha, kuonyesha visababisho vya makosapamoja na kupendekeza njia za kukabiliana nayo. Data ilikusanywa kutoka kaunti ya Makueni wilaya ya Nzaui. Aidha utafiti ulihusisha shule nne kutoka wilaya ya Nzaui kaunti ya Makueni. Sampuli ya utafiti ilihusisha wanafunzi wa kidato cha pili na cha tatu waliochaguliwa kushiriki katika utafiti. Data ilichanganuliwa kwa kutumia nadharia ya uchanganuzi makosa ya Corder (1960). Matokeo ya utafiti huuni kuwepo kwa makosa ya kimofofonolojia ya uchopekaji, udondoshaji na matumizi ya sauti mbadala miongoni mwa wanafunzi wakamba wanaojifunza lugha ya Kiswahili.en_US
dc.description.sponsorshipPwani Universityen_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherPwani Universityen_US
dc.subjectKIMOFOFONOLOJIA KATIKA LUGHA YA KISWAHILIen_US
dc.subjectKIKAMBAen_US
dc.titleUCHANGANUZI WA MAKOSA YA KIMOFOFONOLOJIA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WENYE ASILI YA LUGHA YA KIKAMBAen_US
dc.typeOtheren_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record